Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

HISTORIA: TUMJUE "MZEE WA RUKHSA" RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI Ali Hassan Mwinyi alizaliwa tarehe 8 mwezi wa tano (Mei) mwaka 1923 katika kijiji cha Kivure, wilayani Kisarawe ,mkoa wa Pwani...
2 Reactions
74 Replies
48K Views
Naibu waziri mkuu ambaye pia ni waziri wa nishati Mh Doto Biteko amesema wakati anaingia kwenye wizara hiyo alikuta kila mara mafuta kuadimika na kusababisha usumbufu na foleni kubwa kwenye vituo...
0 Reactions
1 Replies
48 Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
124 Reactions
143K Replies
7M Views
Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo. https://m.youtube.com/watch?v=upbVqLpdVmk Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama...
4 Reactions
17 Replies
243 Views
Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno. Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Wabongo wengi ni mbumbumbu sana na Bahati mbaya hadi mkuu wetu anaingizwa mkenge sana kwenye huu ujinga wa Watanzania wengine. Swala la kuchoma Vifaranga/Ndege/wanyama/mimea inayo ingizwa nchini...
11 Reactions
68 Replies
3K Views
Wajuvi nielewesheni.
0 Reactions
7 Replies
10 Views
Kwa wote wenye kupenda kutalii na kufurahia Uzuri wa asili na kujengwa katika mandhari ya Miji na Majiji...msiende mbali, msiumize kichwa kwani "Dar es Salaam" imesheeni sehemu lukuki ambazo...
0 Reactions
8 Replies
109 Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Yanga 🆚 Coastal Union 📆 27.04.2024 🏟 Azam Complex - Chamanzi 🕖 12:00 Jioni. Tukutane hapa kwa updates #Daimambelenyumamwiko#
8 Reactions
59 Replies
668 Views
Kwa kauli mzee Makamba aliyoitoa tena tena mbele ya mkutano mkuu kuwa watu wazuri hawafi, inafikirisha na kuhuzunisha. Ukitizama umri na busara alizotegemewa kuwa nazo mzee huyu bado tunashindwa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,037
Posts
49,504,679
Members
666,926
Latest member
Maxnnko
Back
Top Bottom