Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
Baada ya msimu unaoelekea kumalizika, timu hii kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu na kushinda taji la muungano, Nini kifanyike ili kujihakikishia kwamba michuano ijayo ya Ramadhani...
Jf amani iwe nanyi.
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s`
Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
Mzuka Wanajamvi!
2019 nilitabiri humu humu jamvin Liverpool itaifunga Barcelona 4-3 nusu fainali mechi ya marudio UEFA champions league na kuchukua UEFA dhidi ya Tottenham fainali.
Nilibezwa na...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Habari wakuu
Najua JF ni kisiwa cha habari na maarifa pia kumekuwa na nyuzi nyingi ambazo sisi kama member tumekuwa tunazisoma.
Basi mkuu ni hivi, wewe kama mwanaJF uzi gani ulikuvutia sana na...
Wapedwa Wana jf napata shida Sana kutumia Muundo mpya wa jf.
Yaani kwa kweli Kama Kuna mtu anayeweza kunielekeza Kama Kuna uwezekano .
Ukiwa unafwatilia uzi kwa wachangiji wa uzi lbda no 210 kuja...
Kumekuwa na mjadala mkubwa kama yule ni mimi au sio Mimi.
Nimekuja mbele Yenu wa JF ili nijibu hoja na maswali yenu. Ila yule sio mimi.
Karibuni kwa maswali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.