Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa...
Katika kata ya Kiromo, Kijiji cha Kitopeni wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani eneo maarufu kama ranchi ya NAFCO eneo ambalo linenunuliwa na Mwekezaji ili kuchimba madini ya MCHANGA.
Eneo hili lipo...
Narudia Tena Kwa mfano mods mnielewe siungi mkono ujangili wala vitendo vya kuua tembo ila sasa assume tu umekutana na hilo zali porini kweli ukafanikiwa kulificha chumbani kwako enhe step ya...
Habari wana Jf tupeane pole juu ya Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Nchini.
Juzi kati nilipata msala mdogo amabao ulinipelekea kuwekwa Selo pale kituo cha polisi msimbazi.
Baada ya kusolve na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Sham El-Nessim, tamasha ambalo hufanyika kwa pumzi sawa na Pasaka, inayoangukia siku baada ya Jumapili ya Pasaka kila mwaka.
Taratibu na imani zinazohusiana na sherehe za leo za Sham El-Nessim...
Sisi watumishi akili zetu zimekubali kuongozwa na maandiko.
Maandiko katika kutoka 21:10 inatoa list ya mahitaji ya muhimu kwa mke au mwanamke.
1: Chakula.
2: Mavazi.
3: Ngono.
Kabla...
Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana.
Namwona kama mtu anaye ishi maisha halisia kabisa.
Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa.
Ukiangalia hii video unaweza toa machozi.
Jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.