Waaukumbi.
American colleges and universities involved in the Palestinian protests:
- Yale University
University of Texas
Columbia University
Massachusetts Institute of Technology
University...
Nianze kwa kuwapa Pole na ujenzi wa taifa, naomba niweke wazi kwamba Kuna jambo nimelishuhudia hapa kwa jirani yangu siamini kama utendaji wa jeshi la polisi umefikiwa viwango hivi ama ni wale...
Nikiangalia watu wengi na picha nyingi za watu wa kuanzia mwaka wa 2000 kurudi miaka ya nyuma sana sioni kama watu wengi walikuwa na vitambi, unene uliopitiliza, kiribatumbo au kunenepeana mashavu...
Nimekuwa katika mapenzi kwa miaka mingi ila ikafika hatua nikaamua kuachana nayo baada ya kujikuta naumia zaidi ya kufurahia.
Nikajikita kwenye utafutaji wa pesa tu lakini kutokana na hali ya...
Waziri wa Kilimo , ndugu mheshimiwa Profesa Mkenda amenukuliwa akisema kuwa , "Mkoa wa Kilimanjaro uliopo Kaskazini Mashariki mwa nchi ya Tanzania una changamoto ya tatizo la uzito uliozidi au...
Good evening,
Moja kwa moja kwenye mada, naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi.
So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike...
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi...
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.