A/alleikum
Naitwa Bakari Hamisi mkazi wa Dar es salaam.
Umri 32 miaka.
Kazi: Muajiliwa (Electrical engineer)
Natafuta mchumba ambae atakuja kuwa mke kama tukiridhiana
Sifa
Uwe Muslim
Elimu yoyote...
Wadau kuna tetesi nimezisikia kuwa Mh James Mbatia aliyekuwa Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kambwaga Mh Joseph Selasini Mahakamani ktk Kesi aliyofungua Mh James Mbatia ya Kumdhalilisha.Katika Kesi...
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe.
Imefika pahala kila kona...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu, naamini wengi Gari inakuvutia kwanza muonekano, then ndio unaanza kufuatilia kujua engine, fuel consumption, spare etc hadi unaamua kuinunua.
Sasa kuna gari apa naona kabisa zilikua...
Rwanda Kupitia bwana Paulo Kagame imeendelea kuipapasa na kuiparura DRC Kwa namna tofauti ikiwemo kufanya Mauaji ya kiholela,kuteka Miji na Vijiji na kupora Mali Kupitia tawi la M23 lakini wababe...
Nakumbuka kipindi Cha nyuma kulikuwa na hii bidhaa ya ivory tomato.
Siku hizi haionekani kabisa?? je wakuu wali iondoa sokoni, au Kuna sehemu Hawa isambazi?!.
Hii ilikuwa nzuri zaidi ya Ile red...
Chekechea na Primary nimesoma english medium private.
Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana.
Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba...
Kuna ukweli tunatotakiwa kuufafanua na kama ni kero irekebishwe kama kweli tunafikiri muungano huu ni wa muhimu.
1. Wazanzibar wengi sana wanamiliki ardhi na majengo bara, kama raia. ila Wabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.