Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimetembea na wake za watu sana, kwa uozo nilioushuhudia niliapa kabisaa sintakuja kuoa ila leo nimetengua kauli yangu, jamani mapenzi matamu asikwambie mtu, duh! Nimempata binti, mtoto mdogo...
1 Reactions
7 Replies
92 Views
Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi...
0 Reactions
10 Replies
198 Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
942 Replies
23K Views
Hakika wenye AKILI KUBWA ndio maana tunasema bila KATIBA MPYA itakayounda UPYA Vyombo vyote vinavyosimamamia UCHAGUZI Nchini. VYAMA Kuendelea kushiriki CHAGUZI chini ya KATIBA hii inayompa...
4 Reactions
9 Replies
203 Views
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
3 Reactions
120 Replies
2K Views
Mimi sio shabiki wa KATAA NDOA ila kwa hili wapo sahihi OKOA kibunda
12 Reactions
27 Replies
422 Views
Kitendo cha mkuu wa nchi kukimbia sherehe za mei mosi eti kwa sababu kikokotoo NI mwiba kwa wafanyakazi ajue kuwa hapo hajatibu chochote / ccm katika zama hizi isiamini kushinda uchaguzi mkuu kwa...
8 Reactions
50 Replies
812 Views
Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa
7 Reactions
71 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana jamvi Naandika uzi huu nikiwa kwenye daladala nikirejea nyumbani kutoka kwenye "mihangaiko" ya Kila siku Ndani ya daladala nmekaa karibu na wakina mama wawili...
21 Reactions
53 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,053
Posts
49,563,199
Members
667,755
Latest member
Ombin
Back
Top Bottom