Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sham El-Nessim, tamasha ambalo hufanyika kwa pumzi sawa na Pasaka, inayoangukia siku baada ya Jumapili ya Pasaka kila mwaka. Taratibu na imani zinazohusiana na sherehe za leo za Sham El-Nessim...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa...
5 Reactions
65 Replies
1K Views
Zamani tuliweza kuteta mawili matatu na jirani huku kila mmoja akiwa kibarazani kwake. Hii iliboresha sana mahusiano na umoja wetu wa kiafrika. Sasa huyu jirani sijui kenge gani kamshauri...
16 Reactions
33 Replies
1K Views
Natoa heshima zangu kwa wote waliopo katika jukwaa hili la JamiiForums. Kwa miaka mingi nimejikuta nikipata maarifa na ujuzi wa kutosha kupitia jukwaa hili (Jforums). Nimefanikiwa kupata maarifa...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
124 Reactions
143K Replies
7M Views
ITV wameripoti Sehemu ya barabara Darajani Salender imeanza kumomonyoka kufuatia mvua zinazoendelea kuonyesha Nawasihi Sana Tanroads wafanye haraka kurekebisha pale darajani Mlale Unono 😃
11 Reactions
58 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna...
58 Reactions
223 Replies
11K Views
Salaam, Shalom!! Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
10 Reactions
66 Replies
925 Views
Arusha,Zanzibar,Kilimanjaro,Mara na Mbeya ni moja kati ya sehemu ambazo zimekuwa ukipata sifa lukuki juu ya uzuri wa maeneo ndani ya mikoa hiyo. Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kuonesha uzuri wa...
6 Reactions
32 Replies
965 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,776
Posts
49,494,647
Members
666,823
Latest member
jay_mtani
Back
Top Bottom