Kwanini ulimblock, lakini pia ulimdelete au kumu-ignore kabisa kwenye mitandao ya kijamii?
Ni baada au kwasababu ya kupishana, kutofautiana au kushindwana kimahusino mathalani ya kimapenzi...
E bana jana kwenye bajaji nimekutana na jamaa mmoja anakipaji cha kuchekesha angepata exposure sipati picha kwenye stage angekalisha sana
Tulikua abiria watatu na dereva,pikipiki ikapita kwa speed...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Mbuzi wanaokaidi sheria za fizikia, kwenye clip hii wanashuka kutoka juu ya mti, hebu wataalam wa yule jamaa yenu mzungu wa kwa nini jiwe linarudi chini kutokana na sijui gravity mara atomy of...
Nimeuliza swali hili kufuatia series of events za MAPANDIKIZI mengi tuliyowahi kukutana nayo.
MAPANDIKIZI ni wale watu wanaokuzwa na wenye madaraka kwa kujibrand kama vile ni watetezi wa haki...
Mambo wanajamii; nahitaji Macbook air 2020 13 inch covers zenye rangi rangi au picha km hii sio zile plain za rangi moja km Red cjui Blue au white nataka picha picha km izi pamoja na keyboard...
Guys ninaomba ushauri,
Nina mwanamke wangu nilikuwanaye kwenye mahusiano tangu nipo nasoma mpaka namaliza lakini ilinichukua kama mwaka na nusu bila kupata kazi.
Wakati huo yeye alikuwa na kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.