Habari wana JF wote kwa ujumla, bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu. Katika kipindi chote hichi tumeishi kwa...
Huyu mke wangu ni mtoto pekee kwao. Ilitokea akanipenda sababu mimi nipo vizuri hata kiakili na mipango na elimu kubwa ninayo.
Nikaona nimuwowe. Sasa baba yake kastaafu nilitegemea basi amgawie...
Wakuu, ingekuwa vyema tukapata updates za kimbunga Hidaya kama kilivyotabiriwa hapa kwenye huu uzi.
Kwa wale walio mikoa ya pwani hali ikoje uliko? Ni tahadhari gani umechukua?
Kufuatilia hali...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kwenye hii ngoma yako kama ingekuwa ni demu basi ni Beyonce Knowles. Na kama ingekuwa mchezaji wa mpira wa miguu basi ni Said Mwamba Kizota au Haruna Moshi Boban.
A very catch...
Mdada wa kitanzania anaejulikana kwa jina la shufaa kitwana tembo amefariki siku ya jana nchini Uturuki wakati anafanyiwa operesheni ya kuongeza makalio na kupunguza tumbo. Bwana ametoa na bwana...
Kwa mujibu wa data kutoka Tume ya Madini na Wizara ya Madini zilizowasilishwa Bungeni 2024 zimeonesha kwamba Soko la Madini ya Dhahabu la Chunya-Mbeya limechangia mabilioni kwenye Mapato ya Nchi...
Siikatai kuwa kuna Askari Polisi wasio waadilifu! Karibia kila taaluma kuna watu wasiozingatia maadili ya kazi/taaluma zao
Kule nchini Marekani, Polisi mmoja alibaini kuwa leseni ya udereva wa...
Jina lake ni Hippocrates. Alizaliwa mwaka 460 AD Ugiriki.
Kabla ya huyu mwamba matibabu kwa wanadamu ilikuwa changamoto. Ilikuwa ukiumwa, unatibiwa na waganga wa kienyeji bila utaratibu mzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.