Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia. Hali ni ya kutisha...
0 Reactions
13 Replies
127 Views
Msikilize Lissu hapa akitema cheche Ukweli lazima uwekwe wazi
0 Reactions
12 Replies
124 Views
Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Leo niko Mbeya, hiki kibaridi cha Mbeya, kwa sisi tulio zoea mablangeti yale, hata ujifunike vipi, na...
16 Reactions
52 Replies
2K Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
70 Reactions
420 Replies
10K Views
Picha chini Ni mwonekano baada na kabla ya kufanyiwa oparesheni hiyo ya mdomo. Nini maoni yako, Kapendeza au hajapendeza?
2 Reactions
16 Replies
283 Views
Happy birthday Muungano, how old are you now? 60 years!!! Leo tare 26/04/2024 Muungano wetu Kati ya Tanganyika na Zanzibar= TANZANIA Umetimiza miaka 60....huu ni umri wa mzee mtu mzima...
0 Reactions
22 Replies
168 Views
Ilikuwa mwaka 2011 kipindi nafanya kazi hoteli Moja pale Zanzibar Mimi na rafiki yangu aliye itwa rajabu pale hotelini mademu wa kizungu kutoka ulaya ni wengi sana sasa ndugu yangu rajabu si...
4 Reactions
16 Replies
199 Views
Dunia ya leo watu wengi hufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na...
17 Reactions
2K Replies
40K Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
3K Replies
66K Views
Athari za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huko na kusababisha mafuriko makubwa kutatiza masomo ya vijana, makazi mengi ya watu kujaa maji, miundombinu hususani ya barabara kuharibika, nishati ya...
4 Reactions
16 Replies
547 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,742
Posts
49,493,341
Members
666,811
Latest member
britanny
Back
Top Bottom