Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli
Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya...
Ninataka kujua hivi:
Wakati wa kukimbiza mwenge utakuta sehemu wanayofikia lazima watenge chumba maalum cha kuhifadhia mchanga. Wakiwa wanaendelea na tukio la mwenge sehemu husika utawaona...
"Mimi nakubali nimeomba radhi inawezekana ile kauli imewaudhi wengi, lakini mimi bado ni mtetezi wao wa kwenye matumizi na kuwasaidia kusoma vizuri kwa kuhakikisha wanafunzi wote wanalipiwa ada...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua kiwanda cha Saturn Corporation Limited Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Mei, 2024...
Masuala ya muungano nchi yamewekwa katika ofisi ya makamu wa Rais ambapo pia kuna wizara na waziri anayeshughulikia muungano na mazingira.
Sijui kwa nini serikali wameweka muungano na mazingira...
Rais Joe Biden ametoa msimamo wake kuwa Marekani haitakuwa tayari kupeleka silaha Israel endapo Israel itaendelea na mpango wake wa kuvamia eneo la Rafah huko Gaza.
Tamko hili limemtoa nyoka...
Habari ya muda huu!
Baada ya salamu. Naomba msaada wa kimawazo kwenu ndugu zangu wana JF.
Kwakweli nimepata mtihani wa KUTONGOZWA ni mke wa jamaa yangu mmoja hivi.
Yule dada namfahamu, lakini...
Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.