Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Paka wa kufuga anahitajika awe mdogo kabisa ambae hana mazingira ya kumuogopa mtu ili nianze kumfuga awe mzuri , mimi nipo kigamboni ofa yangu ni 30,000, na 5000 ya nauli Awe paka msafi mdogo...
13 Reactions
51 Replies
520 Views
Mtoto wangu yoyote yule akija kuwa askari polisi amejifukuzisha mwenyewe kwenye familia.
16 Reactions
90 Replies
965 Views
  • Suggestion
Andiko linausu Tanzania tuitakayo Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni. Afya: Tanzania kma nchi ni lazima tufanye...
0 Reactions
1 Replies
32 Views
TAARIFA YA KIFO CHA NDG OCTAVIAN HUBERT TEMBA Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amelaani vikali mauaji ya Ndg Octavian Hubert Temba miaka 25-30 toka kijiji cha Komela...
1 Reactions
15 Replies
371 Views
Naishauri TTF wairudie mechi ya Simba na Yanga. Ichezwe next week mashabiki tutachangia gharama za mchezo.
3 Reactions
13 Replies
143 Views
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ambae ndio role model wa Chadema amesema atamtia ndani mpinzani wake wa Kisiasa ambae ni Rais wa Zamani bwana Edgar Lungu Kisa Wananchi wengi Wanamfuata baada ya...
5 Reactions
52 Replies
1K Views
Nimekuwa na kawaida siku hizi kuwa ninaposoma Makala ya historia basi huenda kwenye kazi zangu zilizopita na kuangalia nini nimeandika. Ndugu yangu Abdulkarim Ally ameandika makala (haipo hapa)...
2 Reactions
17 Replies
281 Views
Nawaombeni sana mnieleweshe kuhusu TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na TUME HURU YA UCHAGUZI. Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka kuwa kutakuwa na TUME YA TAIFA UCHAGUZI na Sheria ya 2024 inatamka...
1 Reactions
4 Replies
74 Views
Nisipoongea nitakua sitendi haki maana niliahidi likifika langu katika hali yoyote. Nitakuja kutoa ushuhuda Siku mbili tu tangu nilipie gari yangu nilikutana na ule uzi wa aliyeagiza alphard...
10 Reactions
39 Replies
698 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,255
Posts
49,595,106
Back
Top Bottom