leo nimeshuhudia sijui ni bifu au tuseme ni kituko gari ya tanesco yenye wafanyakazi ilipokutana na ya dawasa kwenye foleni Mwenge basi yakaanza matani dawasa wanaitwa chura nao wanawaita wa...
Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
Simba imeendeleza ubabe wa Ligi kuu ya Wanawake (WPL) mbele ya Yanga kwa Kuifunga tena mabao 3-1 kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi.
Simba ambayo inafukuzia ubingwa ikiwa kileleni mwa msimamo...
Zanzibar imejaa fursa lukuki
1. UTALII
2. GESI
3. MAFUTA
4. KARAFUU
5. MWANI
Ila ndio koti la Muungano linatubana.
i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika,
ii. Pesa inaliwa...
Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari...
Kwa nadharia, mpira wa miguu ni mchezo rahisi sana. Ila kiuhalisia, sio kweli ni mcheo mgumu na mchezo wa kikatili sana. Mchezo una sheria 17 pekee, lakini ni sheria ambazo utafsiri wake huwa ni...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Wakuu,
Watoto na michezo ni kama samaki na maji, wengi tushazama kwenye michezo mpaka tukaja kufatwa na fimbo huko tulipokuwa. Wakati mwingine mzazi mpaka anapata wasiwasi labda mtoto kapotea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.