Hii ni sawa ? kwamba kuna dini zinatakiwa kujua kuna wanafunzi wangapi mashuleni bila kueleza nini kinataka kufanyika? maana kama ni suala la waumini sio lazima kwenda shuleni unawapata kwenye...
Suala la serikali kuingiza udini kwenye eilimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekana serikali...
1. Kocha Anaweza Kucheza Kwa Timu Kama Atakavyo: Wengi hawajui hili lakini kocha ni sehemu ya timu na anaweza kumtoa mchezaji na kuingia uwanjani kucheza. Mfano wa kawaida ni Gianluca Vialli...
Asili na habari za Wachaga
Wachaga walikuwa ni moja ya makabila ya kwanza kwanza kabisa Tanzania kukutana na kupata ustaarabu wa Kizungu. Hilo limefanya kuwa kabila ambalo historia yake...
Wanajukwaa!
Je, umewahi kukutana na MAJINI au JINI? Je ulifanyaje? Je mlikua marafiki, au walikutisha na kukuogopesha, je mliishi pamoja? Je umeshawahi kuzungumza nao? Basi kama ndio karibu...
Mungu ibariki Afrika na watu wake..Mungu wabariki Viongozi wetu
Vita na mauaji vinaendelea Kivu ya Kaskazini,Maelfu ya raia wanauwa kila leo. Biashara na shughuli kuu zote zimedorora. Janga la...
sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati...
I passed Nietzsche's metamorphosis, the camel, the lion and the child, thus spake Zarathustra....
Ni muda wa kuanza safari mpya ya maisha baada ya kukamilisha majaribio ya kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.