Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani. 2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro! 3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree. 4- Ndio jiji...
7 Reactions
43 Replies
906 Views
Kwa mimi binafsi naona 1. Nikki Mbishi wa Tamaduni Muzik 2. Leonardo wa Cheka Tu Wote ni wasomi wenye taaluma zao ambazo, zinahitajika kichwa Cha hesabu Nikki ana degree ya computer science huku...
11 Reactions
83 Replies
2K Views
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo...
22 Reactions
204 Replies
7K Views
Huu ndio ukweli kuhusu wanandoa wanaoishi mbalimbali
6 Reactions
9 Replies
210 Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
67K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
228 Reactions
400K Replies
32M Views
Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za mpira wa Miguu (IFHHS) limetoa takwimu ya Ligi 10 bora Afrika kwa mwaka 2023 na Tanzania imeshika nafasi ya 6 kutoka ya 5 mwaka 2022. Pia kidunia...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Muungano OYEEE!! Wakuu! Kumekuwa na wimbi la wanaoitwa wataalamu wa afya na lishe kukosoa karibia kila aina za vyakula tunavyotumia kila siku. Utasikia ugali ni chakula hatari sana kwa afya...
0 Reactions
19 Replies
219 Views
1. Gaza ni kaeneo kadogo ka size ya kinondoni, ilala au temeke huko; kigamboni, bagamoyo, Pemba au Mafia ni kukubwa mno kuliko Gaza. 2. Vi kinondoni, ilala, au temeke huko ni vi mikoa vya...
13 Reactions
62 Replies
912 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,897
Posts
49,499,322
Members
666,883
Latest member
abdallah kheri
Back
Top Bottom