Tokea October 07 Mashambulizi ya Hezbollah kaskazini mwa Israel yamewaangamiza wanajeshi zaidi ya 2000 wa Israel na kuwaacha maelfu wakiwa vilema
Hezbollah wamefanya zaidi ya operesheni 1650...
Ukweli ni kua Wasanii walioko chini ya Label ya Wcb wananyimwa Fursa kupata Promo ya Media kubwa Kama Clouds, E-fm na Eatv&radio Zinazosikika Mikoa mingi Hapa Tanzania
Ukiangalia kwa Jicho la...
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na...
Ndugu wasomi wa Tanganyika moja kwa moja kwa muda.
Mimi nina degree ya elimu kifupi ni mwalimu, nataka kusoma icho kitu hapo juu.
....Vipi wenye mamlaka wanaweza kunibadilisha kutoka kwenye...
Ni hii michezo ya watoto wadogo
Si vibaya ukataja academy, location na michezo yao mfano kuogelea, tennis, football, ndondi, sarakasi, muziki, kuimba, mbio, miruko n.k.
LIPA KWA M-PESA Ni laini ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya wafanyabiashara wooote iwe online business, Sheri, Hotel,Guest House, makampuni mbali mbali n.k. Hiyo yote ni kwa ajili ya kuuzia bidhaa...
Jeshi la Polisi limewakamata Watu Wawili waliomdhalilisha Waziri wa zamani wa Miundombinu Dr Shukuru Kawambwa
Aidha Jeshi la Polisi limemtaka mtu aliyerekodi tukio la udhalilishaji huo na...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.