E bana jana kwenye bajaji nimekutana na jamaa mmoja anakipaji cha kuchekesha angepata exposure sipati picha kwenye stage angekalisha sana
Tulikua abiria watatu na dereva,pikipiki ikapita kwa speed...
wakuu wasaalamu.
Kama kichwa cha Habari kinavyosema. Nimeona wanaume wengi sana wenye wake zaidi ya mmoja, Lakini kitu kinachonishangaza Hawa wanaume utakuta Mke mkubwa anaishi wilaya hii mwingine...
Guys Nina omba ushauri
Nina mwanamke wangu nilikuwa nae kwenye mahusiano tangu nipo nasoma mpka namaliza lakini ilinichukua kama mwaka na nusu Bila kupata kazi.
Wakati huo yeye alikuwa na kazi...
Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi.
Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kumetokea wimbi la maandamano kwenye vyuo vikuu nchini Marekani kupinga mauaji ya wapalestina yanayoendelea Gaza.
Serikali inatumia askari polisi kuzuia waandamanaji wanaotumia haki yao ya...
Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza anayesoma Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambaye jina lake halijawekwa wazi inadaiwa ametaka kufanya jaribio la kujiua akiwa chuoni hapo chanzo kikitajwa ni masuala ya...
Kwanini ulimblock, lakini pia ulimdelete au kumu-ignore kabisa kwenye mitandao ya kijamii?
Ni baada au kwasababu ya kupishana, kutofautiana au kushindwana kimahusino mathalani ya kimapenzi...
Hii tamthilia ya Mpali ina story nzuri sana ambayo inaeleweka. Ni bwana Nguzu na wakeze sita kule shamba kwao.
Sasa ukija kwenye tamthilia za kitanzania, unakuta story ni ndefu mpaka inaboa...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.