naongea kwa experience naiona kwenye familia nyingi, Watoto wakienda kusalimia wazazi mama akiwa peke yake mzee kasafiri wanaweza kukaa hata siku nzima, baba akiwepo watoto watakaa nusu saa tu...
Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Wasalaam ndugu zangu.
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,mimi ni mwanamke natafuta rafiki wa kiume (mwenza). Sina vigezo vingi japo nitavitaja kwa uchache kama ifuatavyo:
Umri: miaka 40 na...
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana
Lakini mimi...
Kutokana na changamoto za waendesha Pikipiki, nimeona niwakumbushe tena kwani wengi hufanya mzaha barabarani bila kujua kuwa Mwili wao ndio bodi ya pikipiki!
1. Usikae ubavuni mwa gari, kwa kuwa...
Nyepesi nyepesi;
Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.