Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nadhani wanajamiiforum mmeona aliyosema Tindu lissue leo mpaka TBC wakaamua kukatisha matangazo yao Lakini inavyoonekana kuwa Tindu Lissu kaja JF kanyofoa data zote za Pasco wa JF kisha kaenda...
7 Reactions
45 Replies
9K Views
Wanabodi, Prof. Shivji anatoa muhadhara wa kuchochea mawazo na fikra mbadala kuhusu Muungano!. Atoa mambo mazito ambayo huwezi Sasa watu wanaanza majadiliano! Hotuba ya Prof. Issa Shivji...
18 Reactions
467 Replies
58K Views
Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi! Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio...
6 Reactions
49 Replies
556 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
69 Reactions
412 Replies
9K Views
Wiki ya Maandamano bado inaendelea , ambapo leo imefika Mkoani Mara . Hapa Mkoani Mara anayeongoza Maandamano haya ni yule yule Mwamba Kabisa Freeman Mbowe Usiondoke JF kwa vile inatarajiwa...
0 Reactions
5 Replies
72 Views
Wanabodi, Wakati mchakato wa Bunge la Katiba unaendelea, kumezidi kuibuka mijadala mikali, kuhusu serikali 3 zilizopendekezwa na Tume ya Warioba au kushikilia serikali mbili ambayo ndio sera ya...
6 Reactions
64 Replies
8K Views
Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019. Amefanya hivyo kupitia...
9 Reactions
39 Replies
883 Views
Wanabodi, Wakati tukiendelea na mjadala wa serikali 3 kuelekea kwenye katiba mpya, uoga mkuu kuhusu uwepo wa serikali 3, ni tishio la serikali tatu kuudhoofisha muungano hatimaye kurisk...
9 Reactions
46 Replies
5K Views
Msikilize Lissu hapa akitema cheche Ukweli lazima uwekwe wazi
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Msikilize hapa Makonda Mkuu wa Mkoa wa arusha alipokuwa akiwaasa watendaji katika mkoa wake. hakika nakubaliana naye kwa 100% kuwa vikundi vya watu wanafiki, wambeya, wafitini na wabadhirifu...
3 Reactions
13 Replies
357 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,741
Posts
49,493,265
Members
666,810
Latest member
britanny
Back
Top Bottom