"Ex Anakusumbua? Jifunze Jinsi ya Kumwacha Aende!
Ever feel stuck, haunted by an ex who won't let go? It's tough, especially when building a new relationship. Moving on isn't easy. There might...
Salaam, Shalom!!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
Njemba huyo pichani ambaye ni Mtanzania na mkazi wa Arusha ingawa kwa sasa anaishi nchini Canada amewashangaza watu baada ya kubadili jinsia kutoka kwenye uanaume na kuwa mwanamke, tukio zima la...
Narudia Tena Kwa mfano mods mnielewe siungi mkono ujangili wala vitendo vya kuua tembo ila sasa assume tu umekutana na hilo zali porini kweli ukafanikiwa kulificha chumbani kwako enhe step ya...
Namwona Eric Omond ni mtu mwenye moyo sana.
Namwona kama mtu anaye ishi maisha halisia kabisa.
Hata komedi zake hazina uongo uongo kabisa.
Ukiangalia hii video unaweza toa machozi.
Jamaa...
Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa...
Happy birthday Muungano, how old are you now?
60 years!!!
Leo tare 26/04/2024 Muungano wetu Kati ya Tanganyika na Zanzibar= TANZANIA Umetimiza miaka 60....huu ni umri wa mzee mtu mzima...
Habari wana Jf tupeane pole juu ya Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Nchini.
Juzi kati nilipata msala mdogo amabao ulinipelekea kuwekwa Selo pale kituo cha polisi msimbazi.
Baada ya kusolve na...
Wadau leo nilikuwa natika KIBADA kuelekea MJIMWEMA.Hakika kwa MVUA hizi zinazoendelea kunyesha Barabara hiyo imejaa Maji na Maji yenyewe kwa kukosa MITARO yanakatisha katikati ya Barabara na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.