Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ifike Mahali viongozi wa Tanzania na hasa Mamlaka ya Uteuzi ijaribu kuwaheshimu Wananchi wake , hata kama ni Wajinga, duni ama Mbumbumbu. Uteuzi wa Kagurumujuli, kada wa CCM aliyesababisha mauaji...
14 Reactions
84 Replies
7K Views
Nina washikaji zangu ambao sipo karibu nao saana kiasi Cha kwamba hawawezi kuniambia mishe zao, mmoja tulisoma name o-level alifeli form two akaacha shule, yeye kapanga nyumba nzima hapo...
12 Reactions
70 Replies
3K Views
Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
14 Reactions
228 Replies
1K Views
Wadau Habari zenu, Naomba kufahamu zaidi kuhusu haya manukato (mafuta) yanayoitwa Bint Sudan ambayo watu tofauti huyatumia kama manukato tu ya kawaida na wengine tiba ya mambo tofauti kama kunuka...
0 Reactions
1 Replies
8 Views
  • Suggestion
Awali ya yote napenda kuwashukuru jamii forum kwa nafasi hii walio tupatia. Katika miaka mitano mpka ishirini na tano Tanzania mm naona tuandae mpango kazi imara wa kuzuia uchafuzi wa mazingira...
0 Reactions
1 Replies
5 Views
Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi...
0 Reactions
3 Replies
74 Views
Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu. Kuanzia...
28 Reactions
160 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Habari zenu Wana JamiiForums?. Mimi nimekuwa kwenye mahusiano na dada mmoja Kwa miezi kumi sasa. Dada huyo ni mama WA MTOTO mmoja WA miaka mitano, jamaa aliyezaa naye walisha achana siku nyingi...
7 Reactions
50 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,009
Posts
49,562,062
Members
667,718
Latest member
AISHAT RASHID
Back
Top Bottom