Nilishawahi kuwaonyeni wana CCM hapa hapa JamiiForums kuwa huyu Mtu ( Mtani wangu kutoka Singida ) Tundu Lissu Genius akiwa anatoa Makombora yake Kwenu ambayo ni mazito na yanahitaji Akili Kubwa...
Kuna mikakati maalumu (kabambe) imeeandaliwa ili lastborn Simba SC ashike nafasi ya pili Hilo lipo wapi.
Goli walilofunga Tabora united na kudhurumiwa goli HIZO ni Juhudi za wazi kabisa kuwa...
Wanajamii forum nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano. Naomba anaejua app inayoconvert docment iliyopigwa kama picha au pdf kuipeleka kwenye word. Ambayo ni ya bure hailipiwi
Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao...
Wakuu habari za Jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
Huwa navutiwa sana ninaposikia Kibatala anamtetea mtu, nimeanza kukufuatilia kitambo sana uwezo wako kisheria na kweli umenifanya hata mimi nipende kusomea sheria, Wakili msomi Kibatala, mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.