Kwema Wakuu!
Weekend hii nilikuwa na mzee mmoja mserikali àliyestaafu mambo ya uongozi. Katika mazungumzo yetu tukajikuta katika mjadala mkali kuhusu maliasili na rasilimali za wananchi...
Waambieni huko Chang'ombe kiwandani Serengeti beer, sticker mpya za chupa za beer yenu hazipendezi.
Sasa hivi chupa hiyo ya sticker ya njano utafikiri kifungashio sha togwa!
Kiwanda cha...
It is another blessed Tuesday and thank Allah for this wonderful moment OK OK OK twenzetu kwenye Mada yetu Wakuu hahahahaha I'm back again
Wakuu ana kweli kilimo hakimtupi Mkulima aisee hawa...
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation, Joseph Butiku amewaonya wanasiasa na wanachama wa CCM kuacha mara moja kampeni za kumchangia Rais Dkt. Samia Suluhu fomu ya kuwania nafasi...
Hivi karibuni nimekuwa nikipinga sana kushidwa kwa Raisi Samia kwenye kuleta katiba, sheria mbaya ya uchaguzi, uhusiano unao dorora kwa upinzani, mikataba ya sirisiri na kutokutumia nafasi vizuri...
Salamu wakuu.
Mji huu Dar es salaam ni Mji mzuri sana katika mishe za hapa na pale. Mji huu haumkatai mtu kama ukiweka starehe mbele.
Pisi za Mji huu hazina upendo kwa apeche alolo. Pisi za Mji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.