Salamu wakuu.
Mji huu Dar es salaam ni Mji mzuri sana katika mishe za hapa na pale.Mji huu haumkatai mtu kama ukiweka starehe mbele.
Pisi za Mji huu hazina upendo kwa apeche alolo.Pisi Za Mji...
Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
Chama cha African National Congress (ANC) kimeahirisha kikao chake cha kamati kuu ya kitaifa (NEC) kilichopangwa kufanyika leo Jumanne, na sasa kitafanyika siku ya Alhamisi, tarehe 6 Juni, 2024...
Watu hawa wa East Asia:-
i, Wakorea
ii, Wachina
iii, Wajapan.
Wana akili sana.
Sisi waafrika weusi hatuna akili nyingi sana, tuna akili ndogo tu za kawaida za kuvukia barabara.
Ni muhimu sana...
Wakuu
Tumekuwa tukifuga sana wanyama majumbani mwetu kwa miaka mingi hasa jamii za kiafrika.
Ingawaje tumekuwa tukiwatendea unyama uhuni wanyama tuwafugao.
Hapa nitaeleza kwa ufupi niliyoyajua na...
The recent statistics released by World Population Review has placed Tanzania as the country with the lowest IQ in East Africa. Position one was handled by Uganda which had an average IQ of 84...
Hii picha imenichekesha sana 🤣.
Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana?
Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.