Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Kwa wale mliopitia habari za barabara ya Dar es salm, Kibiti, Lindi Mtwara hivi karibuni, sasa tunajionea madudu ya kale. Barabara hii imejengwa chini ya viwango. Na tukumbuke waziri aliyehusika...
14 Reactions
111 Replies
3K Views
Wakati Kenya imeendelea kutawala shehena za bandari katika Afrika Mashariki, kuna tishio kubwa kutoka Tanzania kutokana na Bandari yake ya Dar es Salaam kuongeza mizigo mara dufu katika muongo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Aiseeee kunaaa mambo ambayoo yakifanyikaa mpaka unaogopa, nipo maeneo ya mbezi na askari wa mp wamewapigisha kwata dereva na konda wake.Kilichotokea inasikitisha sana na mpaka tumesHAURIII...
4 Reactions
51 Replies
1K Views
  • Poll
FREEMAN MBOWE TUNDU LISSU JOHN HECHE JINSI YA KUPIGA KURA. 1. Gusa jina la Unayemtaka 2. Shuka chini gusa "Cast Vote" #Kupigakura ni Kwa mgombea mmoja tu vigezo na masharti kuzingatia.
0 Reactions
8 Replies
60 Views
Sijui ni kiki au ndio kweli ila nimepata picha kuwa mambo ya kuwekana wazi au mlivyokutana mlibidi kukubaliana kuwa kazi ya mwenzake. Imngeweza kuishi kama wafanyavyo wasanii davido na...
0 Reactions
3 Replies
77 Views
Wakuu, naamini wengi Gari inakuvutia kwanza muonekano, then ndio unaanza kufuatilia kujua engine, fuel consumption, spare etc hadi unaamua kuinunua. Sasa kuna gari apa naona kabisa zilikua...
14 Reactions
55 Replies
1K Views
Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa Msiseme sikuwaambia Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga. Nilipata kijisenti hapa...
7 Reactions
42 Replies
823 Views
Ghafra bin Vuu! Unakutana na Mamba kaking'ang'ania kibunda mdomoni. Utachukua maamuzi gani?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically . Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew Wanzaa kwa mpango Wapo logically Wapo na mental well being. Be blessed , Golden generation.
11 Reactions
55 Replies
592 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,969
Posts
49,590,750
Back
Top Bottom