Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nchi yetu miaka michache ijayo tutaanza kupambana na Wachina. Inakuaje mchina anakuja nchini kufungua supermarket. Wachina wametapakaa kila kona ya hii nchi wanachukua fursa za Watanzania. Juzi...
12 Reactions
68 Replies
1K Views
Habarini Case in point ni huyu blord wa Nigeria, huenda wengi humu hamumfahamu, huyu kijana ana miaka 26 tu ni ceo wa kampuni yake ya jetpay kule Nigeria, lifestyle analoishi si mchezo, yani...
0 Reactions
66 Replies
841 Views
Ajali hiyo inaonesha kutokea katika barabara kuu ambapo dereva akiwa na abiria wake walipata ajali na kupelekea pikipiki kuwaka moto, abiria akiwa pembeni huku wasamaria wema wakijaribu kumnasua...
10 Reactions
149 Replies
4K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Mimi ni mwanamke, 30 yrs mwenye usonji. Jamii/familia yangu wanaona sina tatizo sababu shuleni nilikuwa nafaulu vizuri. Ninapitia changamoto nyingi mnoo. Kuna wakati nahisi kukata tamaa...
11 Reactions
84 Replies
3K Views
Huu ni ushauri kwa wanandoa wote.... Haupaswi kukaa kwenye ndoa kwa sababu ya watoto wako au kwa sababu ya jamii inayokuzunguka. Unapaswa kukaa kwenye ndoa kwa sababu yako, hukuoa wala kuolewa...
23 Reactions
53 Replies
937 Views
Kama wenye siasa huwa hakuna adui wala rafiki wa kudumu basi ni vyema hawa watu wamalize tofauti zao na tuwaone wakipambania Nchi. Lissu atoke Chadema na Makonda atoke CCM. -Wote ni wazalendo -...
4 Reactions
24 Replies
346 Views
Mimi sio shabiki wa KATAA NDOA ila kwa hili wapo sahihi OKOA kibunda
3 Reactions
4 Replies
41 Views
Inaeleweka wazi kukaribiana au kupakana na kisiwa ni hatari kwa security ya nchi ndo mana nyerer aliona mbali na kukinyakua. Sasa akina lisu wenye akili finyu hilo hawalioni na wengine wenye fikra...
5 Reactions
36 Replies
517 Views
Nipo kwenye mahusiano na mlimbwende mmoja (mchepuko); ambaye ameamua kuwa na mimi pale mama watoto anapokuwa mbali nami kijiografia. Nimekuwa nampa shoo za ukweli mara kwa mara, na hii...
4 Reactions
13 Replies
302 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,884
Posts
49,558,250
Members
667,686
Latest member
Shagihelo
Back
Top Bottom