Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Introverts ni wachache sana lakini wana asilimia kubwa kwenye kufanikiwa kupitia masomo, michezo, n.k. Messi ni Introvert ni mchezaji bora kuwahi kutokea kwenye soccer Huku kwenye mambo ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi Nikaona ni vema...
6 Reactions
95 Replies
1K Views
Mdada ni Mnigeria ana pikipiki zile za masafa marefu, yupo mpakani kasimamishwa na wana mamlaka wetu. Wakaanza kuongea nae kiingereza, aibu nimeona mimi. Mdada ana camera kaifunga nadhani kwenye...
7 Reactions
60 Replies
1K Views
Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x. Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze! Mke anavutia sana napatwa...
35 Reactions
189 Replies
3K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
41 Reactions
50K Replies
3M Views
Niwakumbushe tu Hongkong na Macau ni special administration regions za China, Wazanzibar msijisahau kuwa na ninyi ni Special administration region ya Tanzania/Tanganyika. Serikali ya Zanzibar is...
4 Reactions
18 Replies
267 Views
Mh Spika, nasimama kwa kanuni inayoruhusu mbunge kuomba bunge lisitishe shghuli zake na kujadili jambo la dharura linaloendelea nchini. Mh Spika, mvua zinazoendelea nchini zimesababisha madhara...
1 Reactions
3 Replies
47 Views
Je Ulijikausha? Uliomba samahani? Ulijifanya kuibiwa simu? Ulichomokaje kwenye hii soo?
1 Reactions
13 Replies
234 Views
Kozi ya bachelor of arts in economics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gan?
1 Reactions
22 Replies
375 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,894
Posts
49,558,577
Members
667,700
Latest member
zacharia erick
Back
Top Bottom