Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Football ya Tz ina mambo mengi sana nje na ndani ya uwanja, kwa sasa yanga wana watu bora sana nje ya uwanja na ndani ya uwanja, wana pesa na nguvu pia katika serikali. Ikitokea mchezaji mzuri...
4 Reactions
18 Replies
284 Views
Ni ajabu sana kuona watu walio wamoja kwa makabila na tamaduni leo wanajitafautisha kwa misingi ya mkoloni na kujiona ni watu tofauti kabisa richa ya kua ni watu walewale fikaaa. Ingawa mkoloni...
34 Reactions
185 Replies
5K Views
Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni...
12 Reactions
147 Replies
4K Views
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano. Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa...
-1 Reactions
46 Replies
913 Views
Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
5 Reactions
39 Replies
581 Views
Juzi niliudhuria send-off Moja mkoa X, Huyu Binti ni mwenyeji wa huo mkoa, sasa alipata mchumba mkoa mwingine na alikubali kuolewa, aliyekuja kumuoa alimwambia direct kwamba nataka kukuoa, yule...
6 Reactions
38 Replies
441 Views
Habari zenu wakuu! Kama kichwa Cha mada kinavyojieleza, nauza saloon yangu ya kiume( barbershop) iliyopo makongo stend( mageuzio). Nimepata uhamisho wa kikazi hivyo haina budi kuiuza kwani...
3 Reactions
4 Replies
89 Views
Hili ndiyo taifa lenye wachambuzi wa ajabu kabisa katika tasnia ya mpira wa miguu, wachambuzi wengi walijifungia Mwanza toka waliposikia kuwa timu itachinja ng'ombe 25, wamesahau kabisa kuwa...
2 Reactions
14 Replies
340 Views
I will be short Simba since last season wamepata offer nyingi za kibu denis wamegoma kuchukua hela. contract yake inaisha wanataka kumpa new contract then wamuuze kwa faida. maana kuna over 600k...
4 Reactions
50 Replies
1K Views
Suleiman Msellem ambaye Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni za Farmbase, Farmers Center, ambazo ujihusisha na uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa dawa za mifugo na pembejeo za kilimo nchini na nje ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,466
Posts
49,547,415
Members
667,503
Latest member
tonyjr255
Back
Top Bottom