Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uchaguzi ni mikakati. Ukizubaa kidogo umepigwa. Mkakati muhimu kuliko wote ni kusimamia vizuri zoezi la uandikishaji. Chadema msilowee kwenye maandamano tu wakati wenzenu CCM wanapeleka vijana wa...
1 Reactions
1 Replies
10 Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
4 Reactions
189 Replies
5K Views
Hili chama chakavu mtaji wake uliokuwa umebaki kidogo ni watu wa vijijini, sasa nao wamechoshwa na hili chama chakavu naomba wahusika wa wizi wa kura waonhezwe idadai ya kutosha ili ule ushindi wa...
0 Reactions
7 Replies
56 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaondoa Watendaji wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Meneja wa Vivuko Kanda ya Mashariki na Kusini Mhandisi Lukombe King’ombe na Mkuu wa Kivuko cha...
2 Reactions
13 Replies
667 Views
Match Day! Simba SC Vs Namungo FC ⌚ 04:00pm 🏟️ Uhuru Stadium. Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa. Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo Kikosi cha Namungo Kinachoanza All...
16 Reactions
891 Replies
41K Views
UNAWEZA KUDHANI AMELALA, KUMBE AMEKUFA. Ni miaka mingi toka afariki dunia, lakini hakuzikwa. Badala yake serikali iliamua kuuhifadhi mwili wake ili uwe ukumbusho kwa vizazi vijavyo. Hiyo ni...
6 Reactions
25 Replies
550 Views
BASHUNGWA AZITAKA TANROADS NA TARURA KUSHIRIKIANA KUFANYA TATHIMINI YA MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo. Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni...
11 Reactions
74 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-3 Reactions
199 Replies
3K Views
Kama kweli Zanzibar ni nchi basi wanaosema mtu katoka nchi ya zanzibar wapo sawa. Kama Zanzibar ni sehemu ya Tanzania basi sio nchi na hawana Uhuru wa kuitwa nchi. Zanzibar ingetakiwa kuwa na...
3 Reactions
8 Replies
120 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,903
Posts
49,531,668
Members
667,270
Latest member
peter one
Back
Top Bottom