Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
Generali Ogolla wa Kenya, alifariki katika mazingira ya kutatanisha. Swali linalokuja ni: Je, serikali ilihusika? Na ikiwa hapana, Je, Kenya itajikuta lini kwenye hatari ya mapinduzi ya kijeshi...
Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na...
Jf amani iwe nanyi.
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oct 2030, 77% ya wapigakura wote watakuwa ni Vijana wa 2000s`
Mrithi sahihi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya CCM lazima awe ni mgombea...
Diwani mstaafu wa Kiromo anayeitwa Hassan Wembe, ambaye hana historia nzuri sana, amefanya jaribio la kihuni na kuudhi kwa kumzushia tuhuma za uongo aliyekuwa waziri Awamu ya Nne, mh. Shukuru...
Nimeona haya mashimo ya Choo mtandaoni je Ubora Wake ni Mzuri tusije Kujichanganya tukahama Kwenye Uchumbaji wa Mashimo marefu tukajuta Baadae:
Sifa zake wanasema.
1. Hayajai kamwe
2. Hanachukua...
Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
Nimefuatilia Msiba wa huyu Jamaa, Mtangazaji wa Clouds aliyetutoka juzi na kuagwa leo Leaders Club, Leo ndio nimewajua wabongo wanaojiita watu maarufu, yaani kichefuchefu kuliko kichefuchefu cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.