Uzi maalumu kwa watu waliokuwa wanahudhuria nyumba za ibada na baaadaye kuacha, weka sababu yako hapa, we unayehudhuria tupe sababu ya kuhudhuria (achana na zile za dini yangu ni bora, na ya kweli...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Inaaminika kuwa ni ujanja kula Hela ya mtu na kukimbia na kutangaza kuwa sio taipu yangu, mshamba, kajipendekeza etc.
Spiritually ( kiroho) mtu akikupa kitu chake, ukapokea, tayari...
Tumeona ni vema kuweka matukio machache ya Mkutano huu uliofanyika Jana Mjini Singida , ambao ulihutubiwa na Tundu Lissu baada ya Maandamano Makubwa ya kupinga Ugumu wa Maisha na sheria mbovu za...
MTU AKICHAGUA KUWA ADUI, USIMFANYE KUWA RAFIKI
Na Comrade Ally Maftah
JITU LA MIRABA
Katika maisha kuna watu wanatabia za chuki wanazaliwa nazo na wengine wanaziendekeza, unaweza kukuta mtu...
kuna habari kwamba yule miss TZ 2006, Wema Sepetu ameanza kuchanganyikiwa. Wiki iliyopita alimfanyia fujo mpenzi wake wa zamani ambaye ni msanii wa maigizo nchini Steven Kanumba na kuvunja vioo...
Nimeshangazwa kuona Yanga sc inaingia na mkataba na kampuni inayofahamika kinondoni ilala na temeke tu na bidhaa zake inauzia palepale Daresalaam tu tena kuna baadhi ya maeneo ya Daresalaam...
Watumishi wa umma wengi sasa hivi wanafuatilia issue ya kikokotoo cha mafao yao ya baadaye.
Hata hivyo wapo watumishi wa umma ambao wapo kimya kuhusu kikokotoo labda kwa kuwa miaka yao ya...
Asalaaam alekyum.
Apewe sifa yesu.
Mimi ni mwalimu wa masomo la Kiingereza na Geography. Ninauzoefu wa kazi miaka 6. Ninauwezo mkubwa wa kumuongoza mwanafunzi vizuri mpaka akaelewa pasipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.