Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza...
Anajijua yeye ni mchepuko jana kanifumania na mwanamke mwengine akaniletea vurugu!
Akaniita mimi mwanaume malaya haikutosha akaniita mimi "kenge maji!" kitu hichi kiliniuma sana nikamvuta...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imeeleza kuwa ina mpango wa kusimika Kinu cha Utafiti cha Nyuklia (Nuclear Research Reactor) kwa ajili ya utafiti, kufundishia na kuweka mazingira ya kuwa na...
Khabarini wana jukwaa,
Nimekuwa na mahusiano na mke wa mtu takribani miaka minne sasa na hatimaye mwaka huu niliamua kuachana nae kama nilivyoelezea katika uzi wangu wa Msaada: Mke wa mtu anataka...
Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali.
Courses ni masters ya leadership na education leadership.
Uingereza nimepata vyuo vinne.
Sweden chuo 1
Finland 1
Poland 1
Tatizo ni uwezo wa...
Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019.
Amefanya hivyo kupitia...
heyyyy
sawa wanasimba tumekubali benchika kwenda kumuuguza mkewe,
swali lilipo je wasaidizi wake pia wameenda kumuuguza shemeji yake??
tunachanganyikiwa shagala bagala
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.