Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Benki ya Dunia imesitisha ufadhili uliokusudiwa kuendeleza utalii kusini mwa Tanzania baada ya tuhuma za mauaji, ubakaji na kufukuzwa kwa lazima...
1 Reactions
15 Replies
121 Views
Tumekaribia siku ya wafanyakazi Duniani. Kitaifa siku hii kwa Tanzania na nchi baadhi za Afrika utumika kuwalaghai watumishi wa umma kwa kuwapa Maneno matamu na ya faraja Tupo kwenye tatizo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
  • Sticky
Full name: Arsenal Football Club Nickname(s): The Gunners Founded: 1 December 1886 League: Premier League Website: arsenal.com Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
139 Reactions
155K Replies
8M Views
Siku zote, wenzetu wanakula, na wakila, wanakula vyakula ambavyo vinajenga miili yao. Zamani chakula kama hiki hakikuwepo Tanzania, lakini siku hizi vipo vingi tu. Tembelea supamaketi ukakutane...
4 Reactions
17 Replies
297 Views
Msichojua ndo hicho sasa Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia...
3 Reactions
26 Replies
306 Views
Unakuta mdada ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya kumi na wote anawahudumia na anawapiga vizinga na wanamuamini hivi mnawezaje? Unakuta msela anajiaminisha kabisa kuwa fulan ni manzi...
0 Reactions
15 Replies
132 Views
Wiki hii tumejionea baadhi ya wanavyuo wakijaribu kukusanyika kuwaatetea Hamas (ni wanafunzi hao hao wengi walikuwa na furaha siku ya October 7 Hamas walipoivamia Israel). Maafisa wa polisi...
6 Reactions
69 Replies
1K Views
Viongozi wa Simba wanajiroga wenyewe na kujitega kwenye mtego mbaya kwa mashabiki wao. Simba wameendele kuachana na makocha wao kwa kipindi cha miaka 3 mfululizo Novemba 2021 - Mei 2022 Pablo...
0 Reactions
6 Replies
181 Views
Haya bhana, kila la heri, kocha wa ngapi sijui huyu anaondoka lakini Matola kabaki kisiki cha mpingo. Ngoja tuone .
4 Reactions
38 Replies
912 Views
Habari, Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa kutumia huu mfumo? Aje atupe ushuhuda kidogo. Huu mfumo bado ni changamoto.
9 Reactions
48 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,458
Posts
49,519,956
Members
667,130
Latest member
niite_carlos
Back
Top Bottom