Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi sio mchoyo nawasanua vijana. Haijarishi unaanzisha genge, duka la mangi, banda la chipsi, kuuza mitumba, hata iwe kuuza pipi n.k hakikisha unatafuta kwanza kinasa wateja . Mambo ya customer...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo. https://m.youtube.com/watch?v=upbVqLpdVmk Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama...
7 Reactions
51 Replies
2K Views
WAZIRI MAVUNDE ATOA MASHARTI MAGUMU YA MSAADA WA KIUFUNDI KWA MWEKEZAJI - Ni Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited - Awataka wafanye utafiti na kuongeza thamani kama walivyoainisha kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Naona Sasa ajali za mabasi zimeongezeka Kwa Kasi kubwa sana, hasa haya magari yanayoanza safari kuanzia saa 9 usiku, ni hatari sana. Serikali inabidi ilihangalie hili, nimejaribu kusafiri mara...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka . Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
4 Reactions
146 Replies
8K Views
Nianze kwa kuwapa Pole na ujenzi wa taifa, naomba niweke wazi kwamba Kuna jambo nimelishuhudia hapa kwa jirani yangu siamini kama utendaji wa jeshi la polisi umefikiwa viwango hivi ama ni wale...
2 Reactions
23 Replies
575 Views
Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka . Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Mzuka, mashamsham na tamaa vyote viliyeyuka, baada ya kuona makalio yanaondolewa na kutundikwa juu kama inavyoonekana hapa chini. Nimejiuliza maswali mengi sana. Hivi ananionaje huyu dada mpk...
15 Reactions
54 Replies
2K Views
Askari polisi wa Tanzania wamekuwa chanzo cha maumivu ya watu na familia nyingi sana hapo bongo , ni ajabu iliyoje kuona chombo cha dola ambacho ndio kilipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda raia na...
96 Reactions
316 Replies
18K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,145
Posts
49,509,678
Members
666,994
Latest member
Abdallah sadun
Back
Top Bottom