Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maandamano ya Amani yanayoratibiwa na Chadema kwa ajili ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi , yameingia Mkoani Mwanza , leo ni zamu ya...
4 Reactions
34 Replies
606 Views
Habari, Nina mdogo wangu amesoma advance kombi ya PCB na matokeo yapo hivi; Physics-C, Chemistry -B na Bios-B. Je, aende Pharmacy au Radiology na kwa matokeo hayo si anaweza pata Muhimbili?
2 Reactions
15 Replies
621 Views
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa - hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533] -...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Zanzibar imejaa fursa lukuki 1. UTALII 2. GESI 3. MAFUTA 4. KARAFUU 5. MWANI Ila ndio koti la Muungano linatubana. i. Viza (za kuingia Zanzibar) zinatolewa Tanganyika, ii. Pesa inaliwa...
8 Reactions
61 Replies
3K Views
Siku hizi hakuna kupoteza muda unatongoza saa 12 jion saa 2 usiku unapiga au hutongozi kabisa unashika tu kiufupi wamekuwa Maharage ya mbeya..
5 Reactions
10 Replies
147 Views
TP Mazembe wakiwa Ugenini wamejikuta wakipokea Kipigo Cha Magoli matatu Kwa bila dhidi ya Al ahly na kutolewa hatua ya nusu Fainali Ya michuano ya klabu Bingwa barani Afrika. Katika mchezo Wa...
1 Reactions
18 Replies
547 Views
Na nakuomba kabla ya Kuja Kuhara hapa kwa huu Ukweli niliousema tuliza Akili zako zote na zilinganishe Picha zao sawa? Nimemaliza.
5 Reactions
52 Replies
1K Views
Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo. Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza...
2 Reactions
15 Replies
496 Views
Hivi kweli Currently hakuna Nchi ya kuitwa Tanganyika? Wajuzi wa Mambo naomba mtuambie hii imekaaje..... Natanguliza shukrani
1 Reactions
12 Replies
85 Views
  • Poll
Tanzania imeshapitia Awamu sita kama sio tano za Marais tofauti tofauti. Je ni Rais Gani aliependwa kuliko wote Tanzania?
24 Reactions
884 Replies
34K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,020
Posts
49,504,058
Members
666,926
Latest member
Maxnnko
Back
Top Bottom