Yes ukweli pekee ndy silaa bora sana mdomoni na ndy kinga ktk maisha yako yes mi nimgeni humu ila lengo na madhumun kuweka wazi ivyo nimeelewa ila kW bahat mbaya unao waambia wanafahamu Asante
Bc usimlaumu huwenda akujua yupo ktk group La MAHUSIANO kwa sababu gan au pia huwenda ana watoto wa kike weng nyumban alafu awaolewi anaishia kupokea mimba tu ndy asira zake
Ujakosea kwasabb ya uwezo wa uwelewa wako ila jua tu kua Ata ukimwi aupimwi Kwa macho na tuna fanana jinsia ila Tabia na matendo tupo tofaut na ndiyo mana kila 1 ata hukumiwa kulingana na matendo yake
Kaka hua awo kiiman yangu wanasumbua ususan Kwa mifano midog niliyo iyona Kwa ndugu jamaa na marafiki kidogo awe ni mjane kuliko baba wa mtoto yupo hai true
Basi Alie tengeneza ili ndiyo kaanzisha kukosea yani ni kama mfano wa JUHA yani Kwa mzee said kuna wali aliwaambia watoto ili wamuache wasimkere walipo ondoka na Yeye akajisemea kuna wali naye mbio pemben kuna wazee wakamsikia nao wakamfata ivyo wote awa ni MAJUA basi ndiyo alie anzisha ili...
Hakuna mtaa unao kosa wanawake mzee ila hata sehemu wanapo jiuza wadada hupatikan wake wema ila imani yako tu ndiyo itakufanya uwe umefaulu au ime kuponza..kuna watu sikuizi wanatafuta wake adi kweny misiba je hawa nao mzee tusemeje awaoni wanawake mpaka afe MTU IMANI YANGU MZEE asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.