Recent content by ZOYA internet

  1. ZOYA internet

    Dhibiti wanaotumia Wi-Fi yako bila ridhaa yako, usitegemee password, siku hizi wanascan QR na kujoin wifi yako bila hata kuwa na password 😂

    Ok ila jamii forum imefungiwa sijui bado mpo kwa kutumia vpn tuendelee? Au mnasubiri siku 90? Hili limeniuma sana!
  2. ZOYA internet

    Y4s wameleta router za bei nafuu 99000 tu pamoja na offer ya kutumia miezi miwili bure

    Wewe kama upo tayari nikupe lain yangu kwa mda utest ujionee mwenyewe!
  3. ZOYA internet

    Y4s wameleta router za bei nafuu 99000 tu pamoja na offer ya kutumia miezi miwili bure

    Baada ya watu wengi kushindwa kulipia 250k kwaajili ya router ya 5G, YAS wameona walete router 4G+ za bei ya mwananchi na zinazokuja kumaliza kilio cha watu wengi waliokua wakihitaj router za yas. BEI NAFUU. Router hizo zinapatikana kwa bei ya 99000 tu ambaayo inalipwa moja kwa moja kwenda...
  4. ZOYA internet

    Dhibiti wanaotumia Wi-Fi yako bila ridhaa yako, usitegemee password, siku hizi wanascan QR na kujoin wifi yako bila hata kuwa na password 😂

    Unakuta voda wana matoleo tofaut tofaut ya router airtel wana matoleo tofaut tofaut na kila toleo mfumo wake unaweza kua unatofautiana na toleo lingine hivyo bado hata nikikuambia za voda ziko hivi kama sijajua toleo itakua ngumu kukupa exactly info. So chakufanya wewe nicheki nikuelekeze...
  5. ZOYA internet

    Dhibiti wanaotumia Wi-Fi yako bila ridhaa yako, usitegemee password, siku hizi wanascan QR na kujoin wifi yako bila hata kuwa na password 😂

    Maelekezo si ndio hayo nimeweka hapo juu boss wangu na nimesema kabisa router zinatofautiana hivyo maelekezo yanaweza kuyofautiana kidogo na router yako? Then kuhusu scree shot mm siwezi kuzipata mana natumia router ya yas na sio tofaut na hiyo!
  6. ZOYA internet

    Dhibiti wanaotumia Wi-Fi yako bila ridhaa yako, usitegemee password, siku hizi wanascan QR na kujoin wifi yako bila hata kuwa na password 😂

    Pamoja sana karibu pia ukiwa unahitaji ni router ipi nzuri kulingana na matumiz utakayoenda kutumia ili usije ukanunua router alafu mwisho wa siku ikaanza kukusumbua tu. 0717700921
  7. ZOYA internet

    Dhibiti wanaotumia Wi-Fi yako bila ridhaa yako, usitegemee password, siku hizi wanascan QR na kujoin wifi yako bila hata kuwa na password 😂

    Hiyo ni kwa router za tigo, zilizouzwa kuanzia mwaka 2024 mwez wa 7 hadi 2025 mwez wa 7. Sorry Sitawezi kuweka kila aina ya router mana kuna maelf ya makampuni yanayotengeneza router na aina tofaut tofaut, itaniwia kumu kutengeneza video ya kila aina ya router. so wewe ukihitaji maelekezo...
  8. ZOYA internet

    Dhibiti wanaotumia Wi-Fi yako bila ridhaa yako, usitegemee password, siku hizi wanascan QR na kujoin wifi yako bila hata kuwa na password 😂

    Sawa lakini unaweza usielewe mana software na mipangilio wa page au maneno yaliyotumika kwenye admin page ya router yako inatofautiana kwa kila aina ya router ila maelekezo in general ngoja nikupe 1. Kwanza kabisa uta login kwenye admin page yako kwa kuandika kwenye browser yoyote ip adress...
Back
Top Bottom