Pole sana mkuu, napitia changamoto kama hii yani kwangu ni severe haswaa iko mixed na health anxiety disorder, naona watu wanakudhihaki hapa ila hawajui kua ni ugonjwa mbaya sana na ndo maana mara nyingi nashindwa hata kuwaeleza watu kwasababu wanaishia kudhihaki tu, nipo kwenye stage ambayo...
Habari zenu wakuu,
Ninachangamoto inanikabili kuhusu afya yangu, physically nipo sawa sina shida yoyote ila kuna hali ya wasiwasi wa hali ya juu hua inanijia na kuniambia ninaenda kupata ugonjwa mbaya sana.
Mwanzo ilikua inanijia tu randomly sasa hivi inanijia kila nikishika kitu chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.