Recent content by Zombieboss

  1. Zombieboss

    Dereva wa Magari ya Watalii, Omari Msamo adaiwa kuuawa na askari wa jeshi la Polisi

    Maajabu ni mengi, Wakikung'ang'ania uwathibitishie huo ukwel ndo shida,ila serikal inapaswa kuliangalia jeshi la polisi
  2. Zombieboss

    Kuhack password ya wi-fi

    Kuna tutorial youtube https://youtu.be/ejTPWPGP0GA?si=McrfaJkzbqUqPucP
  3. Zombieboss

    Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

    Kama uliongeza pesa kwa kutetemeshwa wewe ni dhaifu,na utakua mfano bora wa ulichokiona mbeya yani katika nyumba yako mke wako ndiye atakua mwenye sauti. Yani mimi kitendo cha kusema pesa ndogo siwezi toa posa ningewaacha na binti yao hapo
  4. Zombieboss

    Msaada: Nimuoe huyu binti au nisikilize ushauri wa Wazazi wangu?

    Huku tunasema ni sawa na kazi za nje unapiga Alfa na Omega bas unaachana nae
  5. Zombieboss

    Msaada: Nimuoe huyu binti au nisikilize ushauri wa Wazazi wangu?

    Huu ushauri wako leo ingekua ni 80's ama early 90's ungefanya kazi ila kwa kizazi hiki bora achukue mwanae alee kuliko kuoa mwanamke mwenye mtoto, Najua changamoto zake ndo mana simshauri hata kidogo,
  6. Zombieboss

    Msaada: Nimuoe huyu binti au nisikilize ushauri wa Wazazi wangu?

    Nisikilize mimi kama umeamua kutosikiliza wazazi, KAA MBALI NA WANAWAKE WENYE WATOTO, NARUDIA KAA MBALI hakuna kitu utafanya kwa mwanae aone ni sahihi na changamoto kubwa ni ambavyo hiwez lea mtoto asie wako. Bro kaa mbali i mean it
  7. Zombieboss

    Wakuu naumia sana, naombeni msaada wa ushauri

    Sheria yangu no.1 Sitoruhusu mahusiano ya aina yoyote mahali nafanyia kazi, hata huyo bint awe na uzuri wa aina gani Pole ila ukifanikiwa kuachana nae itakua jambo jema sana,mapenzi kazini kiasi kikubwa huaribu kazi
  8. Zombieboss

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    Ashukuriwe Mungu kwa wao kutoweza kuwa na hivyo, Jana niliuliza jamaangu mmoja inhekuwaje kama wangekua na mahospitali na shule kwa ubaguzi walionao
  9. Zombieboss

    Hii si Sawa: Afisa Usafirishaji Wanavyokaba na Kupora Raia hapa Arusha

    Kibaya zaidi wanapita barabarani wamevalia kama ninja na hakuna hatua yoyote inayochukuliwa na jeshi la polisi
  10. Zombieboss

    Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Wewe unajitambua kweli ,uhusiano wa kula mchana na serikali ni wapi na wapi, Wamekamata watu wanaokula mchana kwakuwa ni mwezi wa rama, Sasa hakunaje uhusiano na uislamu!
Back
Top Bottom