Recent content by zlatanxns

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Matunda ya jukwaa hili

    🙏 Nashukuru kaka wew ndo ulinifanya nikapata hio nafasi , endelea kuwa na moyo huohuo
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Matunda ya jukwaa hili

    Mim nilikuwa mbandikaji , sio supervisor na pesa yangu ya siku Moja sijalipwa na hao watu nikiwapigia simu hawapokei , ila ofisi zao zipo sinza
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Matunda ya jukwaa hili

    Mim mwenyew na shindwa kumwelewa vizuri , yeye ndo alienisaidia kupata hio mchongo , licha ya mim mwenyew kuzurumiwa pesa yangu ya siku Moja , kuandika Uzi huu Nia ya dhati ni kuomba nafasi nyingine ya kazi
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Matunda ya jukwaa hili

    Kaka mbona unakuwa mgumu kuelewa wew si ndo ulienipatia namba , embu angalia mwenyew ,
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Matunda ya jukwaa hili

    Kaka mimi sio mwajiri mim mwenyew nimmojawapo ambaye nilipata hio tenda , na pia sijapewa pesa zangu za mwisho ila na shukuru tu kwa kile nilicho kipata , ukifatilia post zangu za nyuma utaona nilikuwa naomba kazi mtu akaamua kunipa huo mchongo
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Matunda ya jukwaa hili

    Kaka mimi sio mwajiri mim mwenyew nimmojawapo ambaye nilipata hio tenda , na pia sijapewa pesa zangu za mwisho ila na shukuru tu kwa kile nilicho kipata , ukifatilia post zangu za nyuma utaona nilikuwa naomba kazi mtu akaamua kunipa huo mchongo wa yas
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Matunda ya jukwaa hili

    Ndugu zangu wapendwa, Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwenu kwa sapoti na msaada wenu mkubwa mlionipa hadi kufanikisha kupata tenda ya Tigo YAS ya kubandika mabango. Ingawa tenda hiyo imeisha, imenifungulia njia na kuniongezea imani kubwa katika kazi zetu. Naomba kuendelea kuwaombea...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Matunda ya jukwaa hili

    Kama wiki mbili niliomba kazi humu na nikafanikiwa kupata tenda ya tigo yas ya kubandika mabango narudi kwenu tena kuomba Kazi au kibarua chochote kitakachokuwepo 🙏🙏
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba nafasi ya kazi

    Kaka mim naweza kazi ya shamba 100%
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba nafasi ya kazi

    Nashukuru 🙏 Mrs none
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba nafasi ya kazi

  12. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba nafasi ya kazi

    Nashukuru sana , Nitafanya hivyo
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba nafasi ya kazi

    Asante Sana 🙏
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba nafasi ya kazi

    Mim nimemaliza mwaka huu katika chuo kikuu dar es salaam katika fani ya bachelor of commerce in tourism and hospitality management , sijaweka kwa sababu nasubiria matokeo yatoke ndo maana nikaamua niweke elimu yangu ya form six dhumuni kubwa ni kufanya kazi zile zote ambazo haziitaji mtu awe na...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba nafasi ya kazi

    Nina ujuzi kwenye maswala ya hotel na tourism
Back
Top Bottom