Recent content by zlatan Peter

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi mgeni kwenye hii naomben mnielekeze namna ya kubet
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    Wamekuja wangap na wameondika, hii ni ndoto ya yusufu
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    MKEO atambulishe mbele za watu mtoto sio wako uendelee kukaa kmy tu
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    Mbona Mkuu juz kayabwaga kwenye msiba msiseme
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    Mmmmm nitamwambia ila usisahau mwanajeshi akiua vitan hastakiwi
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    Alikiri yeye ana tuhuma za mwizi ila yeye hakuwa na lengo hilo alishikiwa akili na Aliyeko wa boss wake.... Alikiri mbele ya mungu, wananch na viongoz wa dini na chama
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    Lowassa alikiri na kutubu Dhambi zote, Bible inasema "AATAKAYE KIRI NA KUZIACHA DHAMBI ZAKE NA ATAAMBATANA NAMI "
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    Hilo ndilo jambo LA muhimu, dagaaa mmoja akianza kuoza kwenye tenga LA samaki unamchomoa kabla hajaaribu hao wengne
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    Gambo arusha ataondoka mchana sio usiku,,..... Labda kama wewe mgeni wa hizi siasa, muulize anayekulipa ujira kinana atakusimulia
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    Ndugu yangu, dawa ya moto ni moto
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    Wakat huo gambo hata uhakika wa kuwa monitor wa LA Tatu D Hana
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    Imekuwa boxes iwe na Kiki, au Lema ni underground kama homenize atafte Kiki, ...... Kuna treat humu ilikuwa inamtukana lema na hyo Hospital ya mama na mtoto, kila mtu aliandika chake
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Hili la Arusha linahitaji mjadala mpana, ukisoma barua ya wafadhili utajifunza mengi

    Ingelikuwa hawawajui viongoz wa tz wangelishangaaa
Back
Top Bottom