Recent content by zithromax

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia hii ramani lazima utawasupport Israel wako sahihi

    Itoe hiyo Israel iweke EU na USA kwa pamoja Israel ni wawakilishi tu wa hizo nchi
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kigaidi: Rubani kumchoma kisu rubani mwenzie na kulazimisha ndege kubadili njia

    Do bado wakristu wamelala usingizini na kama hawajaona vile
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Gaidi aliyetaka kuangusha ndege ya flydubai ni mtu anayeswali muda wote!

    Mpumbavu ni yule anayeamina eti fundi bomba anaweza kurusha ndege kwa kunagali kwenye muvi tu
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Rubani mwenza amemchoma kisu rubani mkuu ili aweze kudondosha ndege makusudi

    Bora sio waislam maa wangitwa majina yote mabaya
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Spika : Je Iran itatimiza lini lengo lake la kuifuta Israel? Maana naona muda unaenda

    Iran inabaki kama nch pekee iliyosimama na nchi mbili zenye nuclear unclear na ze mkubwa nye uwezo wa kije shi na akazishinda
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani inaandaa mpango wa kuiuzia Israel silaha zenye thamani ya dola bilioni 2.8.

    Wanapewa Bure hawana hiyo pesa ya kununua
  7. Z

    JamiiForums Tanzania The islamic republic of Iran is completely collapsing!

    Hapo waliopoutengeneza huo mfumo dunia ika lala ikidhani ipo salama mpaka kondoo alipoanza kuitumia hiyo swift kama silaha dunia ndo inahaingaika kujinasua huko
  8. Z

    JamiiForums Tanzania The islamic republic of Iran is completely collapsing!

    West walifanikiwa sana kuharibu hiki kizazi siku watakapoamka watakuwa wamechelewaa sana hasa hapa bongo wakisikia israel huwa wanafikiria ni wezao .. wakristu kule israel nj chini ya asilimi 2 na huwa wanawekwa daraja la chini sana
  9. Z

    JamiiForums Tanzania The islamic republic of Iran is completely collapsing!

    Unaandika utafikiri iran ndo ilianda kumshambulia usa kule kwao
  10. Z

    JamiiForums Tanzania iPhone 18 Pro Max na Ultra Yaja! Kaa tayari kwa Sept 9

    Wanatoa sim mpya kama ada sio kwa kuwa wanatech mpya wanakubadilishia housing wanaongeze hapo dollar 300
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran Meja Jenerali Amir Hatami ametangaza dola 30,000 kwa atakaye ua askari wa Marekani

    Kwa hiyo marekani ndo wanataka aman anayehamgaika kwa kutaka mazungumzo ni iran au usa
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Wanyonge wa Iran( Waarabu ) hatimaye wapatiwa silaha za kujilinda dhidi ya Iran

    Waarab ni vichwa maji kwa kweli wanazid kukamuliwa pesa .. ngap kubwa kuliko zote ni ujirani mwema na kuishi kwa aman na majiran zako sio kitengeneza uadui halaifu mtegemee THAAD Patriote zitawalinda
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Hatimae makubaliano kati ya Iran na Oman kuhusu mlango wa bahari wa Hormuz yafanyika

    Swala sio kulipia mbona kinacholipiwa ni kidogo sana .. swala hapo ni wazayuni ndo wanateseka irani kuwa na fedha za kutosha .. walitamani baada ya kuishambulia nchi hivyo waongeze na presure ya vikwazo nchi iwe dhaifu sana halafu siku wakija tena na porojo za nuclear wanaimalizia na israel awe...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa, Iran katupia missiles ngapi huko Marekani mpaka aelekee kushinda vita,?

    Hata mgalatia anatumia akili jamaa anaroho mbaya zaido ya mchawi iran wameuliwa watu 3000+ irani imeshambulia nchi kama 5 hivi waliokufa hawazid 20
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa, Iran katupia missiles ngapi huko Marekani mpaka aelekee kushinda vita,?

    Hii comment unadhani umekatwa kichwa au unaishi dunia ya kwako peke yao iran alishambulia nchi kama 5 akaua watu wasiozid 20 usa na israel wao waliua watu kama 3000+ nani alikuwa anashambulia hovyo hapo
Back
Top Bottom