Kwanini unatumia neno Warundi katika kutaja makabila ya Burundi? Ni wazi Burundi kuna makabila ya Wahutu, Watwa na Watutsi. Majina kufanana siyo hoja kwani mbali na Burundi kuna majina ya Wasukuma, Wanyamwezi, Wahaya na Wahangaza yanafanana sana na ya Kabila la Waha hivyo kwanini tusiseme wote...
Bwn.S.K.JAPHET (BHUZUZU) alizaliwa Tar.05 Julai, 1974 katika eneo la Manyovu kijiji cha Mwayaya, Wilaya Buhigwe, Mkoa Kigoma. Ni mtoto wa 7 kati ya watoto 9 wa familia ya Mzee ANGELO BUZUZU KAHOBOLA MPENDA. Elimu yake ni Diploma ya Kompyuta na Ufundi ” DIPLOMA IN COMPUTER STUDIES AND...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.