Recent content by Zirconium

  1. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Sakata la Manchester City na makosa 114 imetoka

    Premier League imethibitisha kwamba Tume Huru ya Uchunguzi imebaini kuwa Manchester City ina hatia kwa mashtaka yote yanayohusiana na ukiukaji mkubwa wa kanuni za kifedha za Premier League kwa kipindi cha misimu tisa, pamoja na mashtaka mengi yanayohusiana na kushindwa kwake kushirikiana...
  2. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Meno bandia ya kudumu ya Ceramics ( Pfm )

    Tunaamini kuwa kila tabasamu ni la kipekee. 😁 Ndiyo maana tunakuandalia mpango wa matibabu unaokufaa binafsi, kulingana na mahitaji yako, malengo yako na mtindo wako wa maisha. ✨ Huduma Binafsi kwa Kila Mgonjwa 🦷 Uzoefu wa Matibabu wenye Starehe 🔬 Teknolojia ya Kisasa 📞 Weka Miadi Yako Sasa...
  3. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Je vitamuzi Vitamu vilivyo kwenye Toothpaste vina athari kwa watu wenye kisukari !?( Diabetes mellitus ) !?

    Kwa ujumla, kupiga mswaki kwa kutumia dawa ya kawaida ya meno (toothpaste) hakusababishi mabadiliko makubwa katika kiwango cha sukari kwenye damu wala kuathiri kwa kiasi kikubwa udhibiti wa kisukari. Ingawa karibu dawa zote za meno zinazouzwa zina viambato vya kutia utamu ili kuficha ladha...
  4. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Matibabu ya mzizi wa jino ( RCT) + kofia ya jino la kudumu ( Crown)🦷

    Jino linauma sana, limekuwa na maumivu ya muda mrefu au limeharibika kwa kiwango kikubwa? Usikimbilie kuling’oa—katika baadhi ya hali, jino linaweza kuokolewa kwa matibabu ya mzizi wa jino (Root Canal Treatment). MATIBABU YA MZIZI WA JINO NI NINI? Ni tiba inayolenga kuondoa tishu ya ndani ya...
  5. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Je, unajua Nini kuhusu matibabu ya mpangilio wa meno?

    Hapana , watoto wengi anaweza kuwa hatumii pipi nyumbani lakini shuleni wanapeana na wenzake
  6. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Je, unajua Nini kuhusu matibabu ya mpangilio wa meno?

    Ndyo inawezekana kabisa meno kutoboka / kuoza kwa mtu mwenye miaka 8 ambapo sababu kubwa ni Matumizi ya dawa zenye sukari hasa ( syrup ) Matumizi ya vyakula vyenye sukari kama pipi, biskuti , ice cream, Ufresh kutosafisha kinywa angalau mara mbili kwa siku Mtoto kunyonya kwa kutumia mrija (...
  7. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Je, unajua Nini kuhusu matibabu ya mpangilio wa meno?

    Karibu sana
  8. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Je, unajua Nini kuhusu matibabu ya mpangilio wa meno?

    Gharama huanzia tsh 1.5m mpaka 3m kulingana na tatizo , karibu
  9. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Meno bandia ya Zirconia & Ceramics ( Porcelain fused to metal PFM )

    🦷Je unajua nini Kuhusu meno bandia ya Kudumu !? Meno bandia ya kudumu ni meno yanayowekwa juu ya jino lililoharibika au sehemu iliyopotea ili kurejesha muonekano, uwezo wa kutafuna na tabasamu. Zirconia Zirconia ni aina ya meno bandia yenye uimara mkubwa na muonekano unaofanana kwa karibu...
  10. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Je meno yametoboka / kuoza usisubiri wahi Upate Suluhisho la kudumu.

    🦷 Huduma ya Kuziba Meno Yaliyotoboka/Kuoza Kuziba jino (Dental Filling) ni matibabu yanayolenga kuondoa sehemu ya jino iliyooza na kujaza nafasi hiyo kwa material maalum ili kurejesha umbo, kazi na uimara wa jino. Faida za kuziba meno yaliyotoboka/kuoza: 1. Huzuia kuoza kwa jino kuendelea...
  11. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Pata Suluhisho la meno bandia ya kudumu hapa , Usibaki na Mapengo

    Meno bandia ya Kauri Porcelain Fused to Metal (PFM) ni meno ya kutengenezwa ambayo yana msingi wa chuma (metal) ndani na kufunikwa kwa kauri ya porcelain nje. Hutumika kurejesha jino lililoharibika sana au kuchukua nafasi ya jino lililopotea, hasa kama sehemu ya crown au bridge. Faida za...
  12. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Sikuona haya mabadiliko kabla , Nimeshangaa sana

    Ni hatari sana
  13. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Sikuona haya mabadiliko kabla , Nimeshangaa sana

    Uko sahihi inabidi tubadilishe
  14. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Sikuona haya mabadiliko kabla , Nimeshangaa sana

    Sahihi kabisa Tabata kila baada ya mita kadhaa kuna bandari kavu afu malori ni mengi sana kuliko kawaida
  15. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Sikuona haya mabadiliko kabla , Nimeshangaa sana

    Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea, nikitokea Kijitonyama . Binafsi, ni miezi sita tangu nifike Tabata, na njia zangu za kawaida zilikuwa hazinipeleki upande huo. Lakini kila tulipokuwa tukikata kona, nilikuwa nashangaa kuona jinsi mji ulivyobadilika. Si ule mji...
Back
Top Bottom