Nakupa 100%. Wazo jema sana, changamoto itakuja kama watoto hao wakuasili na huyo wako watajua kuwa wanatofauti, ikiwa utaifanya kuwa siri yako, yako mwenyewe na kila mtu wakiwamo nduguzo wakajua ni wanao utakuwa umefanikiwa sana. MBALA, NE alisema "Wale walionilea ndio wazazi wangu, na wale...
Kuna changamoto kadhaa katika mavazi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. Changamoto hizi huathiri matendo ya ufundishaji na ujifunzaji hali kadhalika mielekeo ya wanafunzi kwa namna fulani. Katika kujadili hili, nitajikita katika mavazi ya wanafunzi wa kike wa sekondari kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.