Recent content by Zilahenda

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la Machungwa na Parachichi kwa mkoa wa Mwanza

    Sokoni hapo huwa wananunua kwa oda? au kwa jumla?
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la Machungwa na Parachichi kwa mkoa wa Mwanza

    Habari zenu! Naomba msaada natafuta Soko la uhakika la Machungwa na Parachichi kwa mkoa wa Mwanza! Masaada!
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa thamani ya shillingi kumenipa faida kwenye Paypal account yangu

    samahani kwa kuchelewa nilikuwa nataka kukutumia screenshot picture imegoma kuupload ss nikifungua account nikisign up inaandika Sorry — your last action could not be completed kwanini hivyo?
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Kushuka kwa thamani ya shillingi kumenipa faida kwenye Paypal account yangu

    Habari yako? john sifahamu sana kuhusiana na Paypal ila nilikuwa nahitaji msaada nimejaribu kufungua PAYPAL PERSONAL ACCOUNT mpya lakini imeshindikana nishauri nifanyeje, kwa vile tayari umeshakuwa nayo account, naomba msaada!
Back
Top Bottom