Chaguzi ndogo nyingi zimefanyika huko nyuma ni lini washindi waliapishwa nje ya bunge? Tena ikiwa si ktk kipindi cha bunge? Kulikuwa na haraka gani ikwa spika kisha pewa majina?
Anafikiri ww pekee ndio unajua siasa za awam hii? Wengi wanajua wapo wenye ujasiri kama wako wanasema wangine kwa hofu wako kimya na huu ndio mfumo tutakaokwenda nao mpaka 2025 upinzani watakuwa wanagawiwa viti mpinzani jeuri atakula jeuri yake hatimar wooote watakuwa ccm hapo ndio bakora...
Usijisumbue bure kupiga ramli cdm inawenyewe na hawatatetereka asilan ww unafahamu uzito wa mdee,mbowe,lisu na mnyika? Hivyo ni vichwa vilivyopita kwenye tanuri la moto vimesafishika na vimekomaa subiri uone sehemu ya pili 2025 cdm hatoki mtuuu
Hata kama ni kweli chama kimebariki cha ajabu ni nn? Rejea maumivu walopata viongozi wa cdm kwa kipindi cha miaka 5 ingekuwa ww ungehimili? Wanachama wamesaindia nini ktk kutoa suport kwa viongozi wao? Uchaguzi umeisha hali ya matokeo umeyaona kila mtu anarudi kwake wangine wamo maabusu wangine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.