Kweli hakuna biashara isiyo na changamoto na ndio maana huwa kuna utaratibu wa mikataba ili kulinda maslahi ya pande zote mbili, pia kunanakuwa na utaratibu wa kuweka wadhamini
Hesabu huwa kati ya 100,000 mpk 150,000/wiki
Na bei hupangwa kutokana na aina/upya/uimara wa gari
Kwa gari ya hesabu mmiliki atahusika na service zote za gari kuanzia oil na marekebisho ya gari pale parts zinapochoka na zitapohitaji kubadilishwa.
Naitwa Ayoub, Natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya Bolt na Uber. Ninazo account zote za kuendesha tax online (Uber, Bolt, Paisha, Little, Moovn etc)
Nipo tayari kwa kazi nachohitaji ni gari tu.
Mawasiliano 0767553726
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.