Recent content by zideboy

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Migodi hatarini kufungwa kufuatia agizo la Rais Magufuli

    Halafu ooh hatufukui makaburi,hapa ndo tumepigwa Sana na waliopita MAGOGONI. Ndio tungeanzia kuyafukua hapa makaburi tumeliwa mno,watu walikua wanapewa vinyago vya dhahabu Kisha wanabariki huu UNYONYAJI
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Ni hatari kupandikiza chuki kwa wananchi, Rais ni lazima apime Maneno yake

    A anazo ILA za kubebea kopo la kuendea MSALANI TU
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Makonda amjibu Lukuvi adai ataendelea na kuendeleza zile ekari 1,500

    Daaaaah kaazi kweli kweli
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Ili kuwa Mkuu wa Mkoa unahitaji elimu gani?

    Uweze kumwita mpangaji WA magogoni Baba,kutoa matamko yasio tekelezeka kwenye radio za wahuni pia kuzushia watu kashfa hovyo ktk tv mubashara za karibu na kawe
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Matukio: Godbless Lema akipokelewa nyumbani kwake Arusha

    iwe funzo pia kwa judges wanaonajisi taaluma Yao kwa ajili ya wanasiasa
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Marufuku mchanga kusafirishwa nje ya nchi

    Walishatupiga tangia Enzi ya Ben.garimoshi ya Abiria ilikua inawekwa pembeni "eti" kupisha garimoshi ya mchanga ipite. Poor Tanzania
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

    Hii tamthilia ndeeefu ka isidingo. BASHITE
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Hata ningepata sifuri kwenye masomo yangu, bado ningekuwa Mkuu wa Mkoa

    U u RC kapewa na "mungu" WA magogoni
Back
Top Bottom