Recent content by Zhoosten

  1. Z

    Wana JF Watakaokuwa katika mstari wa mbele siku ya maandamano wasaini hapa tuwajue.

    Shule ya wanao,maji safi na salama, chakula, afya haya ni zaidi ya posho ya T-shirt na kofia uliozoweshwa
  2. Z

    Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

    Kama mbunge ana elimu ya darasa 7 hata kama anakifadhili chama una fikiri uwezo awke wa kufikiri unafikiri nini zaidi ya kujipendekeza kwa serikali au ccm
  3. Z

    Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

    Watanzania nisaidien maana akili yangu imegota kufikiri kuna nini kwenye katiba mpaka wabunge wa ccm wang'ang'anie kuuupitisha mswada huu,Hawa Wabunge wa Tanzania wanawajibika kwa nani, Hivi wabunge hawa ni wa Chama au wa kupeleka mawazo ya wananchi bungeni? MBONA NASHINDWA KUELEWA NCHI HAINA...
Back
Top Bottom